URAIS 2015 CCM....MCHAKAMCHAKA WA MEI-JUNE JULAI 2015

Mwamba wa Kaskazini Leigwanani Eddo Ngoyayi Lowassa yeye mchakamchaka na 2015.SAFARI YA MATUMAINI


JAJI MKUU MSTAAFU,BRIG.JENERAL ,REV AUGUSTINE RAMADHAN Mwamba wa visiwani anayeashiria ushindani mkubwa na mwamba wa Kaskazini....


Mwanadiplomasia Dkt. AshaRose Migiro anaonekana ni mmoja wa serious contender ktk mpambano


Uwakilishi wa vijana unampa fursa Waziri Nyalandu kuchomoza
Makamu wa Rais anaonekana mnyonge lakini Malinyi leo inawakumbusha kuwa huyu ndie Nambari 2 Tanzania kwa sasa....

MALINYI LEO INAWATAKIA WAGOMBEA WOTE KILA LA HERI KATIKA KINYANG'ANYIRO NDANI YA CCM NA KAMA MDAU WA HABARI HII NDIYO TANO BORA YANGU.