HAPPY BIRTHDAY MWALIMU NYERERE


13 APRIL 1922-14 OCTOBER 1999 MWALIMU JULIUS K. NYERERE. THE FATHER OF OUR NATION.
Mwalimu Nyerere akiwa na mgeni wake Mtawala wa kijeshi wa Uganda Field Marshal Idd Amin Dadaa pale Msasani. Kushoto ni First Lady Mama Maria Gabriel Nyerere.

Malinyi leo tunaungana na Balozi Kagasheki kwa kuhoji.....Khamis Kagasheki retweeted
Nani miongoni mwa wanasiasa wa Tanzania leo ANACHUKIA RUSHWA/UFISADI kama alivyokuwa Nyerere? #HappyBirthdayMwalimu

Pili tunaamini umefika wakati sasa tuanze kuwaenzi kwa kukumbuka siku ambayo Mungu aliitunuku nchi hii mtoto bora wa Kiafrika. Tufanye hivyo pia kwa Karume. Si vyema kukumbukana kwa misiba.

Happy Birthday Mwalimu Julius Kambarage Burito Nyerere. 

Tembelea hapa kuona mtaani kunasemaje juu yake
 http://mtaaniitz.blogspot.com/2015/04/kumbukumbu-ya-siku-ya-kuzaliwa-baba-wa.html