TUJITOKEZE KUPIGA KURA,USAHIHI UNAANZIA KWAKO KWA KUIPATA HAKI YA KUPIGA NA KUITUMIA HAKI HIYO KWA MTU SAHIHI


Ukirudi uchaguzini kwenyewe tunatanguliza yetu binafsi, tukishindwa tunasema aaah wacha wakapige haohao....Jiulize ni kina nani hao?!!!

Hali hii imo pia ktk vyama shindani na CCM kwani matendo na mienendo vinafanana....hii ni ishara ya kutojitambua.

!!!!!!!!!!!!!!!!!