SIMBA YANG'ARAAAAA

http://othmanmichuzi.blogspot.com/2015/03/yanga-ndembendembe-kwa-simbayapigwa.html

Mechi hiyo ya ligi kuu imefanyika katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ikuhudhuriwa na maelfu ya mashabiki kutoka katika pande zote za timu hizo waliofurika kwa wingi uwanjani.

Timu ya Simba SC ya jijini Dar es Salaam, leo imeendeleza ubabe dhidi ya Yanga SC baada ya kuifunga goli 1-0 goli lililowekwa kimiani na mshambuliaji Emmanuel Okwi katika dakika ya 53 kipindi cha pili
Mechi hiyo ya ligi kuu imefanyika katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ikuhudhuriwa na maelfu ya mashabiki kutoka katika pande zote za timu hizo waliofurika kwa wingi uwanjani.
Katika mchezo huo uliochezeswha na mwamuzi Martin Saanya wa Morogoro akisaidiwa na Souda Lila wa Dar pamoja na Florent Zablon wa Dodoma ulimalizika kwa kiongo wa Yanga Haruna Niyonzima kuzawadiwa kadi nyekundu baada ya kuonyeshwa kadi mbili za njano