CCM, TANZANIA KULIKONI NA KAPTENI KOMBA ?

Mwenyekiti wa Taifa CCM Mh.Rais Kikwete akiwa na Kapten Komba ktk shughuli za CCM ktk uhaiMarehemu Komba ktk harakati za Kibunge Jimboni Mbinga Magharibi sasa NyasaAkihudumu ndani ya CCM na harakati zake na wazee wakaja kumuaga akiwa amelala milele.

Malinyi leo imedokoa makala hii ikimungalia Kapteni Komba akihitimisha uhai duniani akiwa muaminifu kwa CCM, Je CCM imehimitimishaje safari ya uhai wa Komba?

http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/814063-john-damiano-komba-na-jakaya-walipoanzia-na-kuishia.html