BURIANI SYLVESTER MARSH......

http://issamichuzi.blogspot.com/2015/03/kocha-wa-zamani-wa-taifa-starsmarehemu.htmlhttp://millardayo.com/marsh1703rip/Safari ya mwisho ya Marehemu Kocha Sylvester Marsh

Weekend ilikuwa na taarifa ya kusikitisha kwenye ulimwengu wa Michezo Tz, ilikuwa ni taarifa ya msiba wa Kocha Sylvester Marsh ambaye alifariki siku ya Jumamosi March 14 2015 katika Hospitali ya Muhimbili ambako alikuwa amelazwa akitibiwa ugonjwa wa koo.
Marehemu Marsh amezikwa leo Mwanza ambapo watu mbalimbali ikiwemo wapenzi wa michezo, wasanii, viongozi, wameshiriki kumsindikiza Kocha huyo wa zamani katika safari yake ya mwisho duniani.
Marsh aliwahi kufundisha vilabu mbalimbali pamoja na kuwa Kocha msaidizi wa timu ya Taifa.