Jaji Werema wewe Kafulila ni Tumbiri tu, Mh.Kafulila wewe Werema ni mwiziiii!!!!!

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema (kushoto) akizuliwa na Mawaziri na Manaibu Waziri kutomfuata Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila baada ya kupandwa na hasira kufuatia mbunge huyo kumtuhumu kwa kumuita mwizi kwenye ukumbi wa Bunge, mjini Dodoma jana. Picha na Edwin Mjwahuzi  http://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/Werema-nusura-ampige-Kafulila/-/1597296/2362016/-/9y83yy/-/index.html
Mheshimiwa Mbunge  David Kafulila ameliambia Bunge kuwa Mheshimiwa Mwanasheria Mkuu wetu Jaji Werema ni mwizi.....