JAJI JOSEPH SINDE WARIOBA ATAHITIMISHA UHAI WA TUME YAKE WAKATI RAIS JAKAYA M.KIKWETE NAYE AKIJIPAMBANUA NDANI BUNGE

 
Rais Kikwete juu akitema cheche zake kwa Wabunge wa Bunge Maalum Ijumaa iliyopita mjini Dodoma; Chini akiwa katika miondoko tofauti ktk kujibainisha juu ya ujio wa katiba mpya....akiwa amefurahi huku akibadilishana mawazo na Timu ya CCM ndani ya ofisi za mapumziko za Bunge Maalum la Katiba Dodoma....
Mh. Rais kazi uliyonituma nimeimaliza .....pokea mzigo wako sasa ni wewe na Watanzania hahahaaaaaa....

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba ya Tanzania Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza Rais Mstaafu  Jaji Joseph Sinde Warioba akiwa na Makamu M/kiti wa Tume hiyo Jaji Mkuu Mstaafu . Rev -Jaji.Brig. Augustino John Ramadhan
Jaji Warioba akiwa na Mjumbe mwenzake wa Tume Katibu Mkuu Mstaafu wa OAU na Waziri Mkuu Mstaafu Dr. Salim Ahmed Salim

 Masikini Dkt.Mvungi........!!!!!
Dr. Mvungi mmoja wa Makamishina wa tume aliyetutoka ghafla na kinyama 2013 mpaka anakufa alitaka Katiba mpya ya wa Tanzania