SISI NI NDUGU, YANINI MALUMBANO......MH. RAIS KIKWETE NA MH. RAIS KAGAME WAONYESHA UKOMAVU .......AMANI NDIO URITHI WETU AFRIKA

http://4.bp.blogspot.com/-dQe0xdRNms8/Uii3xmbRg2I/AAAAAAAEsyg/CCy8FYPlkqA/s1600/0L7C3200.jpghttp://4.bp.blogspot.com/-dQe0xdRNms8/Uii3xmbRg2I/AAAAAAAEsyg/CCy8FYPlkqA/s1600/0L7C3200.jpgAfrika ni moja na sote ni ndugu moja; ndivyo wanavyooneka wakuu wetu wakitafakari maneno wa mentor wao The Great Mwalimu Nyerere.

Daima wagombanao ni ndugu lakini pia wapatanao ni ndugu.
Wakubwa wameona kuwa Afrika ni moja kwa ujasiri wa Marais wetu wapendwa ndugu J.M.Kikwete na ndugu Paul Kagame.Mshindi huyu wa Tuzo ya Nobel Rais wa zamani ya Ireland Mama Mary Robinson aliwatakia kila la heri marais wetu Mh. Kikwete(Tz) na Mh.Kagame(Rwn).Marais na viongozi ambao majirani wetu wamekuwa frontline kuimarisha ujirani mwema ktk ukanda uliojaaliwa maziwa makuu.