RAIS KIKWETE AJIBAINISHA YEYE NI MZAZI NA MLINZI WA UMMA WA TANZANIA

http://issamichuzi.blogspot.com/2013/08/rais-kikwete-akutana-na-vijana.html
Akutana na vijana walioachana na matumizi ya dawa za kulevya...hapa mmoja wa mateja wa zamani akimpa Rais kazi yake ya sanaa.http://1.bp.blogspot.com/-KYrwJpODz-s/UgqLn8ztr9I/AAAAAAAEo84/mL_sjVo7YpQ/s1600/8E9U3933.jpg


Awasihi wasirudi nyuma....huko ni hatari na kwamba wajitambue kama waTanzania wenye wajibu wa kuijenga nchi yao. http://3.bp.blogspot.com/-llW6b5-DjXI/UgqLnPom9dI/AAAAAAAEo8w/xeFtPzYO1uU/s1600/8E9U3935.jpgRais alifurahishwa sana na uhodari wa mshikaji aliyeleta ujumbe wake kwa njia ya picha ya kuchora .http://2.bp.blogspot.com/-WKzyF5aV8UQ/UgqLstYH8bI/AAAAAAAEo9A/wUa7R57_t9E/s1600/8E9U3986.jpgMuungwana Rais wetu akajitokeza hadharani na wahanga hawa waliojitambua na kuisihi jamii juu ya ubaya wa madawa ya kulevya.