MH. ALHAJ DR. JUMA NGASONGWA FAHARI YETU .....HAPPY BIRTHDAY KIONGOZI.

Mh. Dr. Juma NgasongwaWaziri wa Viwanda na Biashara, Balozi Mwapachu wakitembelea mabanda mbalimbali ya biashara -Sabasaba 2003; hapa ni ndani ya banda UDSM akipewa maelezo na Waziri Mkuu wa Serikali ya wanafunzi DARUSO wakati huo ndg Boniface Makene; pembeni ni mdau wa malinyi blog akifuatilia kwa umakini mazungumzo kati ya Makene na Mheshimiwa Ngasongwa.
 
DR. NGASONGWA AKIWA NA MIONGONI MWA MAWAZIRI WA MALIASILI NA UTAALII; Yeye ni waziri kwanza ktk wizara hii awamu ya tatu.

Uso kwa uso na Mizengo pinda naJenerali Mahita ndani ya Morogoro

Kibonde wa Clouds fm na Dkt.Ngasongwa kwenye tukio la CRDB

Mchumi Dkt.Ngasongwa akijadili jambo na wawekezaji

Aliwapenda sana wawekezaji wa kweli wa ndani ya nchi. uso kwa uso na Mohamed Dewji


Dr. Ngasongwa hakuogopa mihadhara yenye ushindani wa hoja.....

Sambamba na Mh. Rais Mkapa kikazi, alimuamini . Mzee huyu humwambii lolote juu ya Dkt. Ngasongwa
Amehudumu chini ya marais hawa  kama Mchumi kiongozi na Waziri achilia idara na sekta ktk zama za Mwalimu Nyerere.Tanzania Leaders III [9 photos]