BILL CLINTON NDANI YA TANZANIA.......

Rais wa 42 wa Marekani Mh. Bill Clinton na Bint yake Chelsea ndani ya Znz na Dar es Salaam wakiangalia mambo yanayofanywa na Plan International hapa Tanzania. Mzee Bill Amekatiza Magomeni na Vingunguti