BURIANI DKT. FERDINAND MASAU....TABIBU BINGWA ULIYEZAMA MIOYONI MWA WATANZANIA LICHA YA MFUMO KUKUANGAMIZA ...UTADUMU MIOYONI MWETU

Habari za kusikitisha ni kuwa Dr. Ferdinand Masau Mwanzilishi wa The Tanzania Heart Institute (THI) pia Daktari bingwa wa Magonjwa ya Moyo na Upasuaji amefariki dunia Alhamisi usiku katika hospitali ya Aga Khan.

Salamu za pole ziende kwa ndugu, jamaa na wafiwa wote waliokuwa karibu na walio mfahamu marehemu. Jana ameagwa Dar es Salaam na leo anazikwa Ukerewe Mwanza.https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/452358-tanzia-dr-ferdinand-masau-wa-tanzania-heart-institue-afariki-dunia.html

May he Rest In peace.