THE IRON LADY PUMZIKA KWA AMANI. BARONESS MAGGY THATCHER

Dunia imempoteza mwanamke wa kwanza kukaa Na.10 pale Downing str kwa zaidi ya muongo akihudumu kama Waziri Mkuu wa Uingereza. Mungu ailaze mahala pema peponi roho yako..Iron Lady