MALINYI VIPI HOMA YA MANCHESTER DEBY

Naambiwa generators na solar ziko on kuuwezesha umma wa Malinyi kushuhudia mtanange huu...namuona Kaputein Roy Keane kwenye pannely ya wachambuzi..
Ila sijapendezwa na uwepo wa kijana wangu Liverpool aliyeasi akiwa na crew ya tv ndani ya Old Traford...!
Malinyi leo yawatakia game njema ...