MKUU WA KAYA MUUNGWANA JAKAYA KIKWETE NA MAENDELEO YETU....HAPO AKIJIRIDHISHA NA UKIJANI WA MKOA WETU MOROGORO.....CHONDECHONDE HIMIZA UTEKELEZAJI WA MIPANGO YAKO NA YA UMMA......
 Rais Kikwete na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh Joel Bendera (shoto) akivuka daraja jipya la Magogoni katika barabara ya Kiganila-Mvuha, Morogoro Vijijini baada ya kulizindua mapema mwaka huu, Mh. Rais  juzi amerejea Morogoro....chondechonde Muungwana tunaomba wilaya mpya ya Malinyi, ukamilifu wa Songea road project,Daraja mto Kilombero na barabara ya lami Ruaha mpaka mto Kilombero kwa kuanzia...chondechonde Mkuu wa kaya...tunatambua unajitahidi kuweka alama za maendeleo....nasi wana Malinyi-Ulanga-Kilombero ututembelee kwa alama hizo tunazoziomba Licha ya mvua kubwa Muungwana hakuwatelekeza wananchi wenye kiu ya kumsikia akinena jambo lihusianalo na maendeleo yao na nchi kwa ujumla