MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE; THE FATHER OF NATION

video
MALINYI LEO INAWAJIBIKA KUUTUNZA,KUUENZI,KUUHESHIMU NA KUUTANGAZA URITHI WA MAARIFA, HEKIMA,MAONO,HOFU YA MUNGU NA UZALENDO USIOPIMIKA WA MUASISI WA TAIFA HILI RAIS WA KWANZA WA TANGANYIKA HURU, JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA BABA WA TAIFA HILI MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE. HOTUBA HII NDIO ILIYOWASUKUMA CCM 1995 KUMCHAGUA BENJAMIN WILLIAM MKAPA KUWA RAIS WA AWAMU YA TATU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. TUMREJEE,TUJITATHMINI,TUANGALIE MBELE, TUMUOMBE MUNGU NA TUMSHUKURU MUNGU KWA AJILI YA J.K. NYERERE.
Malinyi leo inakupa muonekana halisi wa Mwalimu Nyerere kulingana na matukio.