KAMPENI YA KUUDHIBITI MTO FURUWA

KAMPENI YA KUUDHIBITI MTO FURUWA.

NAWAOMBA WANA BODI HAPA USONI, NISAIDIENI KWA MAWAZO NA USHAURI WA NAMNA YA MDC KUSHIRIKI KATIKA KUFANIKISHA UPATIKANAJI WA TZSHS.9.0M ZITAKAZOTUMIKA KWENYE ZOEZI LA KUUHAMI MJI WA MALINYI NA MAFURIKO YA MARA KWA MARA.

NAOMBA MAWAZO MBADALA, NIKOSOENI NA MNIPE NJIA YA KUFIKA.

JANA KIKAO CHETU KILISHINDWA KULIFANYIA KAZI HILI KUTOKANA NA MUINGILIANO WA VIPAUMBELE VYA ORG. YETU NA UJIO WA DHARURA WA HOJA YA MTO FURUWA.

NINAKIRI KUWA SISI TANGU APRIL 2012 TULIJIINGIZA KTK MJADALA NA TULIAZIMIA KUWAHOJI MAMLAKA YA HALMASHURI YA ULANGA KUPITIA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA, TULIJIBIWA NAO KUWA HALMASHAURI HAINA HELA KTK JAMBO HILO KWA MWAKA HUU WA FEDHA. HAPO NDIPO PAMEZUSHA UDHARURA NA UJIO WA TINGATINGA-D6 KWA TZSHS.9.0M

CHONDE CHONDE WANA BODI TUWAJIBIKE KWA HALI NA MALI.