CCM YAJIAPIZA KUJENGA DARAJA LA MTO KILOMBERO NA BARABARA YA SONGEA.....

CHAMA CHA MAPINDUZI WAMEJIAPIZA IFIKAPO DESEMBA 2012 MKANDARASI WA DARAJA LA MTO KILOMBERO ATAKUWA SITE PALE KIVUKONI, DR. MAGUFULI ANASEMA KWA KUJIAMINI KUWA SI HILO TU BALI WAMESHAKAMILISHA PLAN NA MPANGO WA LIBARABARA LIKUBWA LA KILOMBERO-SONGEA ILI KUUNGANISHA MKOA WA DAR ES SALAAM,PWANI,MOROGORO NA RUVUMA....HAHAHAAAA.....HII NI HABARI NJEMA,UFUNUO,UTHIBITISHO WA MAONO YA RAFIKI NA MZEE WANGU MH. ALHAJ DKT. JUMA NGASONGWA, THIS IS LONG LIVE  DREAM-DAY & NIGHT,THINKING,HOPING AND THINGS ARE BECOMING REALITY BRAVO CCM, BRAVO CHE NKAPA  KUIRIDHIA BARABARA NA DARAJA 2003,BRAVO JAKAYA  FOR MAKING IT POSSIBLE, BRAVO ALHAJ JUMA NGASONGWA FOR BEING VISIONARY,ARCHITECT AND TIRELES BELIEVER ON THESE THREE DREAMS, UMEME,BARABARA YA SONGEA AND DARAJA LA KILOMBERO.......CCM KEEP IT RIGHT. MKO TIMAMU,MKO SAHIHI KWA WAKATI SAHIHI SANA NDUGU ZANGU.