UDINI NI HATARI KULIKO CHOCHOTE CHINI YA JUA.

Jambo lolote linalotaka kuigawa nchi kwa misingi ya dini zetu linapaswa kulaaniwa kwa nguvu zote. Dola lazima ichukue hatua kali sana 

Point..Dini na Ukabila ni Silaha mbaya kuliko Atomic na Nyuklia bombs together..
kabisa. Halafu twaishia kufanya blame games and generalisations. We must fight these things ruthlessly