MHESHIMIWA JAJI MKUU WA TANZANIA OTHMAN CHANDE ZIARANI USA

http://issamichuzi.blogspot.com/2012/10/jaji-mkuu-ziarani-marekani.html

JAJI MKUU ZIARANI MAREKANI

MUHIDIN MICHUZI at MICHUZI - 59 minutes ago
** * Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Mohamed Othman Chande yuko ziarani nchini Marekani ziara ambayo imejumuisha Majaji Wakuu wengine kutoka Afrika Kusini,Ghana,Namibia,Zanmbia,Malawi,Kenya,Uganda na Msumbiji, Ziara hii ya aina yake imeratibiwa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani na madhumuni yake makubwa ni kujionea jinsi mfumo wa Sheria na Utoaji Haki katika mahakama vinafanya kazi pamoja na maeneo ya Utawala Bora