MALINYI HATARINI KUKOSA HUDUMA YA MAMA NA MTOTO

Ukiukwaji wa mkataba unaofanywa na Ulanga Kanseli dhidi ya Lugala hospital unaiweka rehani afya ya mama na mtoto jimboni Ulanga-Magharib na sehemu ya Kilombero. Utete unaotolewa na halmashauri hauna mashiko. Tembelea Gazeti la Mwananchi leo ujipatie ukamilifu wa habari...Malonyo leo inawasihi Kanseli ya Ulanga kutothubutu kiwanyima haki hii wakina mama na watoto... Jamii ipigie kelele jambo hili,ni hatari, tupige kelele ili Lugala walipwe na huduma iendelee...; Malinyi leo.