DARAJA LA MTO KILOMBERO,ASANTE MH.JAKAYA RAIS WETU,DKT.MAGUFULI.GOOD WORK NA ALHAJ DKT.NGASONGWA FOR LIVING INTO YOUR DREAMS..


 Waziri wa Ujenzi, Dkt, John Magufuli akiongea muda mfupi baada ya  Mtendaji Mkuu wa TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale (kulshoto) pamoja na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Ujenzi ya China  Railway  15 Bureau Group Corporation (CR15G) Bw, Zhang Tonggang (kulia)kuweka saini kwaajili ya ujenzi wa darala la Kilombero mkoani Morogoro, Daraja hilo lenye urefu wa kilometa 384 litagharimu shilingi bilioni 53.2. .Ujenzi wa daraja hilo utaziunganisha Wilaya za Mahenge na Ulanga. pamoja na kuboresha Usafiri wa mikoa ya kusini  na kuleta kichocheo cha ukuaji wa shughuli za kiuchumi. 
 Mtendaji Mkuu wa Tanroads Mhandisi Mhandisi Patrick Mfugale (kushoto) na  Mtendaji Mkuu kutoka kampuni ya ujenzi ya China Railway 15 Bureau group Corporation (CR15G) Zhang Tonggang (kulia) wakiweka saini mkataba wa ujenzi wa daraja la  Kilombero lenye urefu wa  meta 384 na ujenzi wa barabara zake za miingilio za lami( kilometa 9.142).na jenzi wake utagharimu shilingi bilioni 53.2 .Hafla hiyo imefanyika leo jijini Dar es Salaam.na kushuhudiwa na Waziri wa Ujenzi, Dkt, John Magufuli (mwenye miwani) na kulia kwake na katibu Mkuu wa Wizara hiyo Balozi Herbert Mrango.Pichani kutoka kushoto ni  Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Tanroads , Bibi Hawa Mmanga,Mbunge wa  Mikumi- Abdul Salim Ameir na Mbunge kutoka Morogoro Kusini Innocent Kalgeris.
  Mtendaji Mkuu wa Tanroads Mhandisi Mhandisi Patrick Mfugale (kushoto) na  Mtendaji Mkuu kutoka kampuni ya ujenzi ya China Railway 15 Bureau group Corporation (CR15G) Zhang Tonggang (kulia)wakikabidhiana  mkataba wa ujenzi wa daraja la  Kilombero lenye urefu wa  meta 384 na ujenzi wa barabara zake za miingilio za lami( kilometa 9.142).na jenzi wake utagharimu shilingi bilioni 53.2 .Hafla hiyo imefanyika leo jijini Dar es Salaam.na kushuhudiwa na Waziri wa Ujenzi, Dkt, John Magufuli (mwenye miwani) na kulia kwake na katibu Mkuu wa Wizara hiyo Balozi Herbert Mrango.Pichani kutoka kushoto ni  Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Tanroads , Bibi Hawa Mmanga,Mbunge wa  Mikumi- Abdul Salim Ameir na Mbunge kutoka Morogoro Kusini Innocent Kalgeris.Picha na Mwanakombo Jumaa-Maelezo http://www.facebook.com/photo.php?pid=10680280&l=dcd6147c25&id=109362579338